Swali: Je, imewekwa katika Shari´ah kwa mgonjwa kuandika Aayah zinazohifadhi dhidi ya maradhi kwenye karatasi kisha akaziweka ndani ya maji? Na je, hili limethibiti katika Sunnah?
Jibu: Ndio, inajuzu kuandika Aayah za Qur-aan kwenye karatasi safi au kwenye sahani safi na kwa kalamu safi, kisha ioshwe (hiyo Qur-aan) na kunywa. Mgonjwa ndio atakunywa. Hili limefanywa na Salaf na wanachuoni wameliruhusu. Kwa kuwa linaingia katika kujitibu kwa Qur-aan.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=8IYWzCbRS00
- Imechapishwa: 24/03/2018
Swali: Je, imewekwa katika Shari´ah kwa mgonjwa kuandika Aayah zinazohifadhi dhidi ya maradhi kwenye karatasi kisha akaziweka ndani ya maji? Na je, hili limethibiti katika Sunnah?
Jibu: Ndio, inajuzu kuandika Aayah za Qur-aan kwenye karatasi safi au kwenye sahani safi na kwa kalamu safi, kisha ioshwe (hiyo Qur-aan) na kunywa. Mgonjwa ndio atakunywa. Hili limefanywa na Salaf na wanachuoni wameliruhusu. Kwa kuwa linaingia katika kujitibu kwa Qur-aan.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=8IYWzCbRS00
Imechapishwa: 24/03/2018
https://firqatunnajia.com/kunywa-maji-yaliyosomewa-aayah-za-qur-aan/