Kunyoosha mikono na miguu mbele ya anayeswali

Swali 224: Ni ipi hukumu ya kunyoosha mikono au miguu mbele ya anayeswali?

Jibu: Hapana vibaya. Hilo ni kutokana na Hadiyth ya ´Aaishah.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 92
  • Imechapishwa: 02/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´