Swali: Je, kuna ubaya wowote wa kuyanyoa masharubu kwa kutumia nyembe ya kunyolea?
Jibu: Ndio, imechukizwa kufanya hivo. Imaam Maalik anamuaziri mwenye kufanya hivo. Kwa sababu linaumbua. Linamuumbua mtu. Anachotakiwa ni yeye kupunguza masharubu na asiyanyoe. Unyoaji unafanya uso kuonekana vibaya. Imam Maalik alikuwa anaonelea yule mwenye kufanya hivo anatakiwa kuadhibiwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
- Imechapishwa: 04/11/2017
Swali: Je, kuna ubaya wowote wa kuyanyoa masharubu kwa kutumia nyembe ya kunyolea?
Jibu: Ndio, imechukizwa kufanya hivo. Imaam Maalik anamuaziri mwenye kufanya hivo. Kwa sababu linaumbua. Linamuumbua mtu. Anachotakiwa ni yeye kupunguza masharubu na asiyanyoe. Unyoaji unafanya uso kuonekana vibaya. Imam Maalik alikuwa anaonelea yule mwenye kufanya hivo anatakiwa kuadhibiwa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
Imechapishwa: 04/11/2017
https://firqatunnajia.com/kunyoa-masharubu-kunauumbua-uso/