Kuning´iniza du´aa ya safari kwenye gari

Swali: Vipi kuhusu kutundika du´aa ya safari kwenye gari?

Jibu: Yote haya hayafai. Aitamke kwa mdomo wake wakati anasafiri na si kuitundika. Aisome safarini wakati anapopanda kipandwa au gari yake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24521/حكم-تعليق-دعاء-السفر-في-السيارة
  • Imechapishwa: 24/10/2024