273 – Aliulizwa kuhusu mtu aliyelala na kuacha swalah ya Fajr kwa makusudi?

Jibu: Kuna khofu kuwa huenda akawa kafiri.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 100
  • Imechapishwa: 16/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´