Swali: Leo tunasikia wenye kusema:
“Kwa nini mnatilia mkazo Tawhiyd na mmejiweka mbali na mambo ya waislamu na mnawaacha na madonda yao.”?
Jibu: Hatukuwaacha na madonda yao. Ni lazima kuyatibu. Lakini kunaanzwa na Tawhiyd kisha baada ya hapo ndio yanarekebishwa makosa na madhara mengine.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Haqiyqatu Da´wat-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17206
- Imechapishwa: 01/01/2018
Swali: Leo tunasikia wenye kusema:
“Kwa nini mnatilia mkazo Tawhiyd na mmejiweka mbali na mambo ya waislamu na mnawaacha na madonda yao.”?
Jibu: Hatukuwaacha na madonda yao. Ni lazima kuyatibu. Lakini kunaanzwa na Tawhiyd kisha baada ya hapo ndio yanarekebishwa makosa na madhara mengine.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Haqiyqatu Da´wat-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17206
Imechapishwa: 01/01/2018
https://firqatunnajia.com/kunaanzwa-na-tawhiyd/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket