Yote uliyomkosoa Sayyid Qutwub ni haki na ni sawa. Hivyo itambainikia kila msomaji Muislamu ambaye angalau ana maarifa kidogo ya Uislamu, ya kwamba Sayyid Qutwub hakuwa na elimu yoyote juu ya Uislamu, si katika misingi yake wala matawi yake. Ee ndugu Rabiy´! Allaah Akujaze kheri kwa kuwa umetimiza wajibu huu wa kufafanua na kufichukua ujinga na upotofu wake kutokamana na Uislamu.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Mahajjah al-Baydhwaa’, uk. 3
- Imechapishwa: 05/07/2020
Yote uliyomkosoa Sayyid Qutwub ni haki na ni sawa. Hivyo itambainikia kila msomaji Muislamu ambaye angalau ana maarifa kidogo ya Uislamu, ya kwamba Sayyid Qutwub hakuwa na elimu yoyote juu ya Uislamu, si katika misingi yake wala matawi yake. Ee ndugu Rabiy´! Allaah Akujaze kheri kwa kuwa umetimiza wajibu huu wa kufafanua na kufichukua ujinga na upotofu wake kutokamana na Uislamu.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Mahajjah al-Baydhwaa’, uk. 3
Imechapishwa: 05/07/2020
https://firqatunnajia.com/kuna-mambo-ya-kijinga-kwenye-vitabu-vya-rabiy-al-madkhaliy-al-albaaniy-anajibu/