Kuna kiwango maalum cha Rak´ah za Sunnah kabla ya ijumaa?

Swali: Ni Sunnah kabla ya ijumaa kuswali Rak´ah ngapi?

Jibu: Hakuna kiwango maalum. Aswali Rak´ah mbili, Rak´ah nne, Rak´ah kumi au Rak´ah mia. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”… na akaswali kile alichokadiriwa.”

Kwa maana ya kwamba ambacho Allaah amemwandikia.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24530/كم-عدد-ركعات-التسنن-قبل-الجمعة
  • Imechapishwa: 25/10/2024