Swali: Wanazuoni wamesema kuwa wanamuhukumu mtu kwa dhahiri. Vipi tutaoanisha kati ya haya na mwenye kusema kwamba kutafuta baraka kwa udongo kwenye kaburi ni shirki kubwa pale ambapo mtu atakusudia kuwa udongo unanufaisha wenyewe kama wenyewe na vinginevyo ni shirki ndogo?

Jibu: Hiyo ni falsafa. Hiyo ni falsafa. Mwenye kudhihirisha shirki tunamuhukumu kwa hilo bila ya falsafa hiyo. Kuna haja gani ya hayo?

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ad-Durr an-Nadhwiyd (01)
  • Imechapishwa: 07/03/2025