Swali: Wapo baadhi ya watu wasiokuwa na elimu wanawaombea laana israaiy. Inafaa kufanya hivo?
Jibu: Hapana, haijuzu. Israaiyl (´alayhis-Salaam) ni Ya´quub. Ni Nabii katika Manabii wa Allaah. Usimwombi Allaah awalaani israaiyl. Mwombe Allaah awalaani wana wa israaiyl.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (107) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoulahfan-22-06-1441.mp3
- Imechapishwa: 03/09/2020
Swali: Wapo baadhi ya watu wasiokuwa na elimu wanawaombea laana israaiy. Inafaa kufanya hivo?
Jibu: Hapana, haijuzu. Israaiyl (´alayhis-Salaam) ni Ya´quub. Ni Nabii katika Manabii wa Allaah. Usimwombi Allaah awalaani israaiyl. Mwombe Allaah awalaani wana wa israaiyl.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (107) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoulahfan-22-06-1441.mp3
Imechapishwa: 03/09/2020
https://firqatunnajia.com/kumwomba-allaah-awalaani-israaiyl/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)