Swali: Ni ipi hukumu mume akimjamii mke wake na yeye ana nifasi pasina kukusudia kwa kudhania kwamba amekwishatwaharika? Na ni ipi hukumu ikiwa atamjamii kwa kukusudia pia?
Jibu: Hukumu ni kwamba amuombe Allaah msamaha na atubu Kwake. Juu yake ana tawbah na Istighfaar.
- Muhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.njza.net/Default_ar.aspx?ID=98
- Imechapishwa: 24/09/2020
Swali: Ni ipi hukumu mume akimjamii mke wake na yeye ana nifasi pasina kukusudia kwa kudhania kwamba amekwishatwaharika? Na ni ipi hukumu ikiwa atamjamii kwa kukusudia pia?
Jibu: Hukumu ni kwamba amuombe Allaah msamaha na atubu Kwake. Juu yake ana tawbah na Istighfaar.
Muhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.njza.net/Default_ar.aspx?ID=98
Imechapishwa: 24/09/2020
https://firqatunnajia.com/kumwingilia-mke-wakati-wa-nifasi/