Swali: Mama wa mtoto amekuja baada ya swalaj ya ´Ishaa na mtoto tayari amelala. Je, amuamshe? Mtoto huyo ana miaka saba, kwa maana ya kwamba hajafikisha miaka kumi?
Jibu: Dalili za Hadiyth zinaonyesha kuwa jambo hilo linamuhusu pia.
Swali: Je, amwamrishe kwenda kuswali kwa mkusanyiko?
Jibu: Ndio, dhahiri ni kwamba aambiwe ili azowee swalah ya mkusanyiko.
Swali: Vipi ikiwa mtoto mwenye umri wa miaka saba ameikosa swalah ya mkusanyiko?
Jibu: Hana wajibu wa kuilipa. Hata hivyo kama baba au mlezi atamwamrisha kuilipa ili amzoeshe, ni jambo jema. Inaweza kusemwa kuwa amri hiyo inamjumuisha. Lakini kwa mujibu wa maana ya Hadiyth anamwamrisha katika nyakati za swalah.
Swali: Je, anapigwa kwa sababu ya kukosa swalah ya mkusanyiko au kwa sababu ya kuchelewesha swalah wakati ana miaka saba?
Jibu: Hapigwi mpaka afikishe miaka kumi.
Swali: Je, anapigwa kwa sababu ya kutokutekeleza swalah kwa wakati wake?
Jibu: Ndio, dhahiri ni hivyo. Anapigwa kwa sababu ya kutokutekeleza swalah kwa wakati wake na pia kutokushiriki swalah ya mkusanyiko ili azoee kutekeleza swalah ipasavyo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31541/هل-يجب-ايقاظ-الصبي-الناىم-اذا-فاتته-الصلاة
- Imechapishwa: 04/11/2025
Swali: Mama wa mtoto amekuja baada ya swalaj ya ´Ishaa na mtoto tayari amelala. Je, amuamshe? Mtoto huyo ana miaka saba, kwa maana ya kwamba hajafikisha miaka kumi?
Jibu: Dalili za Hadiyth zinaonyesha kuwa jambo hilo linamuhusu pia.
Swali: Je, amwamrishe kwenda kuswali kwa mkusanyiko?
Jibu: Ndio, dhahiri ni kwamba aambiwe ili azowee swalah ya mkusanyiko.
Swali: Vipi ikiwa mtoto mwenye umri wa miaka saba ameikosa swalah ya mkusanyiko?
Jibu: Hana wajibu wa kuilipa. Hata hivyo kama baba au mlezi atamwamrisha kuilipa ili amzoeshe, ni jambo jema. Inaweza kusemwa kuwa amri hiyo inamjumuisha. Lakini kwa mujibu wa maana ya Hadiyth anamwamrisha katika nyakati za swalah.
Swali: Je, anapigwa kwa sababu ya kukosa swalah ya mkusanyiko au kwa sababu ya kuchelewesha swalah wakati ana miaka saba?
Jibu: Hapigwi mpaka afikishe miaka kumi.
Swali: Je, anapigwa kwa sababu ya kutokutekeleza swalah kwa wakati wake?
Jibu: Ndio, dhahiri ni hivyo. Anapigwa kwa sababu ya kutokutekeleza swalah kwa wakati wake na pia kutokushiriki swalah ya mkusanyiko ili azoee kutekeleza swalah ipasavyo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31541/هل-يجب-ايقاظ-الصبي-الناىم-اذا-فاتته-الصلاة
Imechapishwa: 04/11/2025
https://firqatunnajia.com/kumwamsha-mtoto-aliyelala-ili-aswali/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket