Swali: Je, inajuzu kumuuliza swali Khatwiyb ilihali anatoa Khutbah siku ya Ijumaa?

Jibu: Kumuuliza swali la kielimu hakuna neno. Ama kumuuliza swali nje ya elimu katika mambo ya kidunia, hili halijuzu isipokuwa wakati wa dharurah. Kama mfano wa kisa cha yule aliyemuomba Mtume awaombee mvua. Hii ni dharurah, ni kitu cha dharurah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-5-29.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014