Kumuosha mgonjwa kwa damu

Swali: Je, inafaa kumwosha mgonjwa kwa damu ya kichinjwa?

Jibu: Haijuzu. Damu ni najisi. Haijuzu kujitibu kwa kitu najisi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (08/147)
  • Imechapishwa: 04/06/2021