Swali: Ni ipi hukumu ya kuashiria kidole kwa mtoto siku ya Ijumaa wakati wa Khutbah kwa sababu anawashawishi wasikilizaji?

Jibu: Haijuzu wakati wa Khutbah akatikisika au akazungumza. Anachotakiwa ni kunyamaza wakati wa Khutbah.

Anaweza kumnyamazisha mtoto kwa njia nyingine.

Ama kutikisika, kumuashiria kidole au akazungumza haifai.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
  • Imechapishwa: 26/06/2020