Swali: Maiti anafikiwa na thawabu za Qur-aan mtu akisoma na kumtumia thawabu maiti huyo?
Jibu: Halikuthibiti. Haikuthibiti mtu kusoma Qur-aan na kumtumia thawabu zake maiti. Hakuna dalili juu ya hili. Hii ni Bid´ah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (35) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20-%208%20-%201%20-%201437.mp3
- Imechapishwa: 12/02/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket