Swali: Kusoma Qur-aan na kumtumia thawabu zake maiti ni jambo lenye kuruhusu?
Jibu: Hakukuthibiti dalili juu ya hilo. Ajiombee du´aa mwenyewe na amuombee maiti. Ama kusema amtumie thawabu za kisomo ni jambo linalohitajia dalili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (17) http://alfawzan.af.org.sa/node/2110
- Imechapishwa: 06/07/2020
Swali: Kusoma Qur-aan na kumtumia thawabu zake maiti ni jambo lenye kuruhusu?
Jibu: Hakukuthibiti dalili juu ya hilo. Ajiombee du´aa mwenyewe na amuombee maiti. Ama kusema amtumie thawabu za kisomo ni jambo linalohitajia dalili.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (17) http://alfawzan.af.org.sa/node/2110
Imechapishwa: 06/07/2020
https://firqatunnajia.com/kumtumia-maiti-thawabu-za-kisomo-haikuthibiti/