Swali: Je, kafiri anaweza kutukanwa kwa kutajwa jina lake?

Jibu: Ikiwa kuna haja. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwatukana. Lakini ikiwa hakuna haja, basi inampasa kumuombea uongofu, kama alivyosema:

“Ee Allaah, waongoze Daws na niletee nao.”

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25218/هل-يجوز-سب-الكافر-المعين
  • Imechapishwa: 22/02/2025