Kumtafutia mtu mwingine nafaka kwa bei kubwa zaidi

427 – Aliulizwa Shaykh wetu kuhusu anayemtafutia mwingine nafaka kwa bei kubwa zaidi?

Jibu: Hatujui kizuizi. Ikiwa ni mtu wa kuaminika basi atatumia kwa jamaa zake na nafsi yake, na pia kulipa deni lake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 140
  • Imechapishwa: 28/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´