Swali: Baadhi ya watu wanapotaka kumnasibishia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) basi husema:
“Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).”
Hawasemi “Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema” au Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema. Katika hali kama hii mtu aitikie “Aamiyn” au na yeye amswalie?
Jibu: Hapana shaka kwamba hapa dhimiri ya “amesema” inarejea kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Udhahiri ni kwamba dhamiri ni kama mtu ametaja. Ndani yake kunaingia maneno ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kutoka kwa Jibriyl aliyesema:
“Ameangukia pua yule ambaye nitatajwa mbele yake asiniswalie.”
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Nuur ´alaad-Darb (15) http://binothaimeen.net/content/6800
- Imechapishwa: 17/02/2021
Swali: Baadhi ya watu wanapotaka kumnasibishia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) basi husema:
“Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).”
Hawasemi “Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema” au Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema. Katika hali kama hii mtu aitikie “Aamiyn” au na yeye amswalie?
Jibu: Hapana shaka kwamba hapa dhimiri ya “amesema” inarejea kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Udhahiri ni kwamba dhamiri ni kama mtu ametaja. Ndani yake kunaingia maneno ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kutoka kwa Jibriyl aliyesema:
“Ameangukia pua yule ambaye nitatajwa mbele yake asiniswalie.”
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Nuur ´alaad-Darb (15) http://binothaimeen.net/content/6800
Imechapishwa: 17/02/2021
https://firqatunnajia.com/kumswalia-mtume-kwa-dhamiri/