Kumswalia mtoto ambaye wazazi wake ni washirikina

306 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu kumswalia swalah ya jeneza kijana ambaye wazazi wake ni washirikina?

Jibu: Ndiyo; ikiwa atahukumiwa kuwa ni muislamu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 110
  • Imechapishwa: 23/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´