Swali: Je, anaswaliwa swalah ya jeneza mtu ambaye amejiua kwa sababu ya kuwa na maradhi ya kiakili?
Jibu: Mtawala hatakiwi kumswalia. Wengine wote watamswalia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
- Imechapishwa: 01/11/2020
Swali: Je, anaswaliwa swalah ya jeneza mtu ambaye amejiua kwa sababu ya kuwa na maradhi ya kiakili?
Jibu: Mtawala hatakiwi kumswalia. Wengine wote watamswalia.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
Imechapishwa: 01/11/2020
https://firqatunnajia.com/kumswalia-mgonjwa-wa-kiakili-aliyejiua/