Kumswalia maiti zaidi ya mara moja

Swali: Vipi kuhusu kutembea juu ya makaburi?

Jibu: Haijuzu.

Swali: Vipi kuhusu kumswalia maiti mara ya pili?

Jibu: Hapana shida. Hapana vibaya ikiwa maiti ameshaswaliwa msikitini kisha akaswaliwa tena msikiti mwingine au pale makaburini wakati wa kumzika. Hata baada ya kuzikwa pia inajuzu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28931/حكم-المشي-على-القبور-وتكرار-الصلاة-عليها
  • Imechapishwa: 07/05/2025