Swali: Je, inajuzu kumkata shangazi yangu na kutoungana naye kwa sababu amemuozesha msichana wake kwa Raafidhwiy anayewatukana Maswahabah?
Jibu: Ikiwa amekusudia hili na wewe unajua hili na ulimshauri lakini hata hivyo hakukubali, hakuna shaka yoyote ya kwamba ni wajibu kwako kumkatalia na kujitenga naye mpaka atapotubu kwa Allaah (´Azza wa Jall). Huku ni kususa kwa haki. Kumsusa mwenye kufanya maasi ikiwa hakutekeleza na hakukubali ni jambo limewekwa katika Shari´ah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
- Imechapishwa: 26/06/2020
Swali: Je, inajuzu kumkata shangazi yangu na kutoungana naye kwa sababu amemuozesha msichana wake kwa Raafidhwiy anayewatukana Maswahabah?
Jibu: Ikiwa amekusudia hili na wewe unajua hili na ulimshauri lakini hata hivyo hakukubali, hakuna shaka yoyote ya kwamba ni wajibu kwako kumkatalia na kujitenga naye mpaka atapotubu kwa Allaah (´Azza wa Jall). Huku ni kususa kwa haki. Kumsusa mwenye kufanya maasi ikiwa hakutekeleza na hakukubali ni jambo limewekwa katika Shari´ah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
Imechapishwa: 26/06/2020
https://firqatunnajia.com/kumsusa-shangazi-ambaye-amewaoza-shiyah/