Swali: Je, ni wajibu kwangu kuosha mikono yangu kwa mchanga na maji nikimsalimia mtu ambaye amegusa mbwa?
Jibu: Hapana, hakuna madhara ya kugusa mbwa. Madhara yanapatikana kwa mkojo wake na ute wake pale atapokula ndani ya chombo. Ama mbwa yenyewe ikipita ikamgusa au ikagusa kitu, jambo hili halinajisi sehemu hiyo.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Je, ni wajibu kwangu kuosha mikono yangu kwa mchanga na maji nikimsalimia mtu ambaye amegusa mbwa?
Jibu: Hapana, hakuna madhara ya kugusa mbwa. Madhara yanapatikana kwa mkojo wake na ute wake pale atapokula ndani ya chombo. Ama mbwa yenyewe ikipita ikamgusa au ikagusa kitu, jambo hili halinajisi sehemu hiyo.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/kumsalimia-mtu-aliyegusa-mbwa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)