Swali: Katika mji wetu kuna desturi ya kuchinja mnyama wakati mwanamke muolewaji anapohama kwenda nyumbani kwa mume wake. Mke anatembea juu ya mnyama kabla ya kuingia nyumbani. Hii ni desturi yetu.
Jibu: Hii ni desturi mbaya. Ni kama mfano wa kuchinja wakati mtawala anapokuja kwa ajili ya kumuadhimisha. Haijuzu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%203-11-%201436.mp3
- Imechapishwa: 12/02/2017
Swali: Katika mji wetu kuna desturi ya kuchinja mnyama wakati mwanamke muolewaji anapohama kwenda nyumbani kwa mume wake. Mke anatembea juu ya mnyama kabla ya kuingia nyumbani. Hii ni desturi yetu.
Jibu: Hii ni desturi mbaya. Ni kama mfano wa kuchinja wakati mtawala anapokuja kwa ajili ya kumuadhimisha. Haijuzu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%203-11-%201436.mp3
Imechapishwa: 12/02/2017
https://firqatunnajia.com/kumsalimia-mke-kwa-njia-ya-kuchinja/