Swali: Nikiona mtu anakula kwa kusahau naye amefunga. Nikimwambia “Acha kula au kunywa wewe umefunga!”. Je, ntakuwa mwenye dhambi? Je, nimkumbushe au nimwache mpaka atapokumbuka mwenyewe?
Jibu: Mkumbushe. Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala):
وَالْمُؤْمِنُونَ وَالْمُؤْمِنَاتُ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاء بَعْضٍ
“Na waumini wanaume na waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki.” (09:71)
Na Mtume (swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anasema:
“Muumini ni kio kwa muumini mwenzake.”
Anasema Allaah (Ta´ala):
وَذَكِّرْ فَإِنَّ الذِّكْرَى تَنفَعُ الْمُؤْمِنِينَ
“Na kumbusha, kwani ukumbusho huwafaa waumini.” (51:55)
Mwambie wewe umefunga, acha kula na kunywa.
- Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
- Imechapishwa: 10/05/2020
Swali: Nikiona mtu anakula kwa kusahau naye amefunga. Nikimwambia “Acha kula au kunywa wewe umefunga!”. Je, ntakuwa mwenye dhambi? Je, nimkumbushe au nimwache mpaka atapokumbuka mwenyewe?
Jibu: Mkumbushe. Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala):
وَالْمُؤْمِنُونَ وَالْمُؤْمِنَاتُ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاء بَعْضٍ
“Na waumini wanaume na waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki.” (09:71)
Na Mtume (swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anasema:
“Muumini ni kio kwa muumini mwenzake.”
Anasema Allaah (Ta´ala):
وَذَكِّرْ فَإِنَّ الذِّكْرَى تَنفَعُ الْمُؤْمِنِينَ
“Na kumbusha, kwani ukumbusho huwafaa waumini.” (51:55)
Mwambie wewe umefunga, acha kula na kunywa.
Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
Imechapishwa: 10/05/2020
https://firqatunnajia.com/kumkumbusha-mwenye-kula-mchana-wa-ramadhaan/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)