Swali 329: Je, inajuzu kumkaribisha chakula mfanyakazi wa zakaah?
Jibu: Hapana ubaya. Yeye ni mgeni na ana haki ya kukaribishwa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 117
- Imechapishwa: 29/05/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 329: Je, inajuzu kumkaribisha chakula mfanyakazi wa zakaah?
Jibu: Hapana ubaya. Yeye ni mgeni na ana haki ya kukaribishwa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 117
Imechapishwa: 29/05/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/kumkaribisha-chakula-mfanyakazi-wa-zakaah/