Swali: Vipi kuhusu kumhukumu mtu kwamba anajionyesha?

Jibu: Hapana, haijuzu kumtuhumu kuwa anajionyesha. Yeye ndiye anaijua zaidi nafsi yake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24636/هل-يجوز-الحكم-على-شخص-بالرياء
  • Imechapishwa: 16/11/2024