Swali: Ambaye alitumbukia katika uzinzi kisha akatubu. Je, ni lazima kwa mwanamke huyu kumweleza jambo hilo anayepomsa baada ya jambo hilo?
Jibu: Hapana. Usimweleze. Muda wa kuwa umetubu na umejutia:
“Mwenye kutubu juu ya dhambi ni kana hana dhambi.”
- Muhusika: Imam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaa
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18350
- Imechapishwa: 16/10/2021
Swali: Ambaye alitumbukia katika uzinzi kisha akatubu. Je, ni lazima kwa mwanamke huyu kumweleza jambo hilo anayepomsa baada ya jambo hilo?
Jibu: Hapana. Usimweleze. Muda wa kuwa umetubu na umejutia:
“Mwenye kutubu juu ya dhambi ni kana hana dhambi.”
Muhusika: Imam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaa
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18350
Imechapishwa: 16/10/2021
https://firqatunnajia.com/kumficha-mposaji-uzinzi-baada-ya-kutubu/