Kumfanyia Twawaaf aliyeshindwa

Swali 392: Ambaye ameacha Twawaaf katika hijjah yake kwa sababu ya kushindwa kwake – mtu atufu kwa niaba yake?

Jibu: Hapana, afanyishwe Twawaaf kwa kubebwa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 134
  • Imechapishwa: 17/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´