Kumesihi kitu juu ya kutokufuatisha viungo vya wudhuu´?

Swali: Je, kuna ukweli juu ya kile kilichopokewa kutoka kwa baadhi ya Maswahabah, kama Ibn ´Umar na wengine, kuhusu kutokufuatisha kati ya viungo vya wudhuu´?

Jibu: Sifahamu juu ya kusihi kwake. Si sahihi. Lakini kama ni kweli wanapingwa na Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Kama imesihi kutoka kwa baadhi ya Salaf basi wanapingwa na Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Yeye wanapingwa na Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ndiye mwenye kufasiri na kubainisha Qur-aan.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24725/هل-صح-شيء-في-عدم-الموالاة-في-الوضوء
  • Imechapishwa: 03/12/2024