Swali: Mwenye kuwachukia baadhi ya Maswahabah kutokana na walioyafanya kabla ya kuingia katika Uislamu, kwa mfano yule aliyemuua Hamzah, kwa hali kama hii itahesabika anawachukia Maswahabah?
Jibu: Hili halina shaka. Hili halina shaka. Huyu anaonelea kuwa Uislamu na Tawbah haifuti madhambi yaliyotangulia – na tunaomba kinga kwa Allaah. Allaah (´Azza wa Jall) amesema:
قُل لِّلَّذِينَ كَفَرُوا إِن يَنتَهُوا يُغْفَرْ لَهُم مَّا قَدْ سَلَفَ
“Sema [uwaambie] waliokufuru [kwamba]: “Wakikoma basi watasamehe yaliyopita.” (08:38)
Wamesamehewa. Pindi walipotubu na kusilimu Allaah Aliwasamehe. Mwenye kutubu kwa dhambi ni kama ambaye hana dhambi. Huyu anapekua makosa ya Maswahabah na kutaka propaganda ya kuingiza maneno kama haya ya kipotevu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_13.mp3
- Imechapishwa: 15/06/2015
Swali: Mwenye kuwachukia baadhi ya Maswahabah kutokana na walioyafanya kabla ya kuingia katika Uislamu, kwa mfano yule aliyemuua Hamzah, kwa hali kama hii itahesabika anawachukia Maswahabah?
Jibu: Hili halina shaka. Hili halina shaka. Huyu anaonelea kuwa Uislamu na Tawbah haifuti madhambi yaliyotangulia – na tunaomba kinga kwa Allaah. Allaah (´Azza wa Jall) amesema:
قُل لِّلَّذِينَ كَفَرُوا إِن يَنتَهُوا يُغْفَرْ لَهُم مَّا قَدْ سَلَفَ
“Sema [uwaambie] waliokufuru [kwamba]: “Wakikoma basi watasamehe yaliyopita.” (08:38)
Wamesamehewa. Pindi walipotubu na kusilimu Allaah Aliwasamehe. Mwenye kutubu kwa dhambi ni kama ambaye hana dhambi. Huyu anapekua makosa ya Maswahabah na kutaka propaganda ya kuingiza maneno kama haya ya kipotevu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_13.mp3
Imechapishwa: 15/06/2015
https://firqatunnajia.com/kumchukia-swahabah-kutokana-na-aliyofanya-kabla-ya-kusilimu/