Swali 758: Ni ipi hukumu ya kumbusu mwanamke mbele za watu?
Jibu: Baadhi ya watu kutokana na matangamano yao mabaya wanaweza kumbusu mbele za watu na mfano wake, jambo ambalo halijuzu.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Ibraahiym Aalush-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 296
- Imechapishwa: 08/08/2019
Swali 758: Ni ipi hukumu ya kumbusu mwanamke mbele za watu?
Jibu: Baadhi ya watu kutokana na matangamano yao mabaya wanaweza kumbusu mbele za watu na mfano wake, jambo ambalo halijuzu.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Ibraahiym Aalush-Shaykh
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 296
Imechapishwa: 08/08/2019
https://firqatunnajia.com/kumbusu-mke-mbele-za-watu/