Swali: Je, inafaa kupandisha sauti wakati wa kulisindikiza jeneza na kumsomea maiti Yaa Siyn?
Jibu: Haya hayakuthibiti. Ni Bid´ah.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 445
- Imechapishwa: 01/08/2025
Swali: Je, inafaa kupandisha sauti wakati wa kulisindikiza jeneza na kumsomea maiti Yaa Siyn?
Jibu: Haya hayakuthibiti. Ni Bid´ah.
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 445
Imechapishwa: 01/08/2025
https://firqatunnajia.com/kulisindikiza-jeneza-kwa-mayowe-na-yaa-siyn/