Swali: Je, inafaa kwa mtu kuzidisha katika kutoa zakaah kwa ajili ya kuchukua tahadhari?
Jibu: Hapana vibaya kwa mtu akazidisha juu ya kile kiwango ambacho anaona kuwa ni wajibu kwake na akanuia ya kwamba kile kilichozidi juu ya wajibu ni kujitolea. Mlango wa kujitolea umefunguliwa.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/143)
- Imechapishwa: 17/05/2026
Swali: Je, inafaa kwa mtu kuzidisha katika kutoa zakaah kwa ajili ya kuchukua tahadhari?
Jibu: Hapana vibaya kwa mtu akazidisha juu ya kile kiwango ambacho anaona kuwa ni wajibu kwake na akanuia ya kwamba kile kilichozidi juu ya wajibu ni kujitolea. Mlango wa kujitolea umefunguliwa.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/143)
Imechapishwa: 17/05/2026
https://firqatunnajia.com/kulipa-zakaah-zaidi-kwa-ajili-ya-kuchukua-tahadhari/