Swali: Inajuzu kwa mtu kulipa siku zilizompita za Ramadhaan siku ya alkhamisi na ijumaa?
Jibu: Inajuzu kwa mtu kufunga siku ya alkhamisi na ijumaa kulipa siku zilizompita za Ramadhaan na isiyokuwa Ramadhaan katika swawm za sunnah. Kilichokatazwa ni mtu kukusudia kufunga siku ya ijumaa peke yake.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: : Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/354)
- Imechapishwa: 22/06/2017
Swali: Inajuzu kwa mtu kulipa siku zilizompita za Ramadhaan siku ya alkhamisi na ijumaa?
Jibu: Inajuzu kwa mtu kufunga siku ya alkhamisi na ijumaa kulipa siku zilizompita za Ramadhaan na isiyokuwa Ramadhaan katika swawm za sunnah. Kilichokatazwa ni mtu kukusudia kufunga siku ya ijumaa peke yake.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: : Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/354)
Imechapishwa: 22/06/2017
https://firqatunnajia.com/kulipa-madeni-ya-ramadhaan-alkhamisi-na-ijumaa/