Swali: Baadhi ya migahawa inauza mlo unaojumuisha wali na robo ya kuku. Je, milo kama hiyo inasihi kuwapa wahitaji kumi juu ya kiapo alichovunja mtu?
Jib: Ndio inatosha ikiwa mlo mmoja unamshibisha mtu. Akiwapa chakula kinachowashibisha watu kumi, inatosha.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 28/06/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)