Swali: Mtunzi (Rahimahu Allaah) amesema kuwa nguo inayojuzu kutoa katika kafara ni ile ambayo mtu anaweza kuswalia nayo. Tunaona kuwa kanzu zetu nyeupe hii leo zaonyesha ndani yake uchi ikiwa mtu hakuvaa nguo ya ndani…
Jibu: Hii haisihi. Hii ni nguo nyepesi mno inayoonyesha ndani. Haisihi, kwa sababu haisihi kuswali nayo. Haifuniki uchi na kwa ajili hiyo haitoshi kwa njia ya kuitolea kafara. Ile nguo ambayo haisihi kuswali nayo haisihi katika kuitolea kafara.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 28/06/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)