Swali: Nalazimika kutoa kafara na nadaiwa. Ni kipi natakiwa kutanguliza?

Jibu: Deni la watu linatangulizwa. Kafara mtu anaweza kufunga na ikasihi.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 28/06/2024