Swali: Kuna ambao wanasema kuwa ISIS ni kipando cha Wahhaabiyyah. Tunatarajia Radd ya hilo.
Jibu: Waache wabainishe vipi ni kipando cha Wahhaabiyyah. Waache wabainishe hilo. Waache wabainishe msingi wa ISIS, ISIS ni kina nani na wana mfumo wepi. Halafu mwache alinganishe na Da´wah ya Wahhaabiyyah ili kuona kama kuna kufanana au kutofautiana kati yao. Muulize kwanza juu ya mfumo wa ISIS halafu mfumo wa Wahhaabiyyah. Baada ya hapo alinganishe.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Haqiyqatu Da´wat-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/02011436.mp3
- Imechapishwa: 06/11/2016
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)