Swali: Je, inajuzu kwa imamu kusema Aayaat-ul-Kursiy kisha atasbiha mara tisini na tisa, kisha watu wakaitikia baada yake?
Jibu: Hapana. Kila mmoja peke yake. Kila mtu amtaje Allaah mwenyewe. Sio imamu kusema kisha wao wamfuate. Imamu peke yake na kila mmoja peke yake.
Swali: Vipi ikiwa ataona watu wanafanya hivyo?
Jibu: Awafundishe kwamba hilo halijahifadhiwa. Awalinganie kwa Allaah na awafundishe watu kheri. Awaambie kwamba hilo halijahifadhiwa, ee ndugu zangu, na kwamba kila mmoja amtaje Allaah kati yake na nafsi yake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com’
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1390/حكم-ترديد-الاذكار-بعد-الصلاة-بصوت-جماعي
- Imechapishwa: 13/12/2025
Swali: Je, inajuzu kwa imamu kusema Aayaat-ul-Kursiy kisha atasbiha mara tisini na tisa, kisha watu wakaitikia baada yake?
Jibu: Hapana. Kila mmoja peke yake. Kila mtu amtaje Allaah mwenyewe. Sio imamu kusema kisha wao wamfuate. Imamu peke yake na kila mmoja peke yake.
Swali: Vipi ikiwa ataona watu wanafanya hivyo?
Jibu: Awafundishe kwamba hilo halijahifadhiwa. Awalinganie kwa Allaah na awafundishe watu kheri. Awaambie kwamba hilo halijahifadhiwa, ee ndugu zangu, na kwamba kila mmoja amtaje Allaah kati yake na nafsi yake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com’
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1390/حكم-ترديد-الاذكار-بعد-الصلاة-بصوت-جماعي
Imechapishwa: 13/12/2025
https://firqatunnajia.com/kuleta-adhkaar-baada-ya-swalah-kwa-pamoja-kwa-sauti-ya-juu/