Swali: Ni ipi hukumu ya kulea watoto wa zinaa? Je, inajuzu kuwaozesha?
Jibu: Watendee wema. Watoto wa nje ya ndoa hawana hatia yoyote. Wanalelewa, wanatendewa wema na wanaozeshwa kwa sababu ni waislamu. Wao hawana dhambi yoyote.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13398
- Imechapishwa: 26/04/2018
Swali: Ni ipi hukumu ya kulea watoto wa zinaa? Je, inajuzu kuwaozesha?
Jibu: Watendee wema. Watoto wa nje ya ndoa hawana hatia yoyote. Wanalelewa, wanatendewa wema na wanaozeshwa kwa sababu ni waislamu. Wao hawana dhambi yoyote.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13398
Imechapishwa: 26/04/2018
https://firqatunnajia.com/kulea-watoto-wa-nje-ya-ndoa/