Swali 607: Je, fisi huliwa hata kama ni pasi na haja?

Jibu: Ndio. Ikiwepesika kwako, kula na mshukuru Allaah.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 215
  • Imechapishwa: 12/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´