Swali: Je, ni adabu kunyamaza wakati wa kula?
Jibu: Hakuna msingi juu ya hilo. Msingi wakati wa kula na mambo mengine yote ni:
“Yule anayemuamini Allaah na siku ya Mwisho aseme yaliyo na kheri au anyamaze.”
Mambo yanatakiwa kuwa hivyo.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Raabigh (3)
- Imechapishwa: 22/07/2017
Swali: Je, ni adabu kunyamaza wakati wa kula?
Jibu: Hakuna msingi juu ya hilo. Msingi wakati wa kula na mambo mengine yote ni:
“Yule anayemuamini Allaah na siku ya Mwisho aseme yaliyo na kheri au anyamaze.”
Mambo yanatakiwa kuwa hivyo.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Raabigh (3)
Imechapishwa: 22/07/2017
https://firqatunnajia.com/kula-na-unyamaze/