Kula kwa kijiko bila ya dharurah yoyote

Swali: Vipi kuhusu kula kwa kijiko bila ya dharurah?

Jibu: Sijui kama kuna ubaya wowote, lakini kwa mkono ni bora zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27871/حكم-استعمال-الملعقة-في-تناول-الطعام
  • Imechapishwa: 17/04/2025