Kukusanya nia swawm ya jumatatu na alkhamisi na masiku meupe

Swali: Funga ya kesho kwa nia kuwa ni siku ya jumatatu na ni tarehe kumi na tano?

Jibu: Hakuna kizuizi, haina shida. Afunge siku ya jumatatu, ni mamoja iwe ni kumi na tano au nyingineyo, haina shida.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28482/حكم-الجمع-بين-صيام-الاثنين-وخمسة-عشر
  • Imechapishwa: 19/04/2025