Swali: Ni jambo limewekwa katika Shari´ah kukumbatiana wakati wa kupeana pole?

Jibu: Ni kwa lengo la kuliwazana, halina neno. Khaswa ikiwa mtu amefika kutoka safarini. Kukumbatiana kunafanywa wakati mtu anapofika kutoka safarini. Vinginevyo kilichowekwa katika Shari´ah ni kupeana mikono.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (15) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-24-11-1434_0.mp3
  • Imechapishwa: 20/09/2019