Swali: Yule anayemkufurisha ambaye ametumbukia katika moja ya mambo yanayovunja Uislamu anahesabiwa kuwa ni Takfiyriyyah?
Jibu: Kukufurisha kwa haki, huyu hawi Takfiyriy. Akimkufurisha yule ambaye anastahiki kukufurishwa, hii ni haki.
“Yule asiyemkufurisha kafiri, basi ni kafiri.”
Hili ni miongoni mwa yanayovunja Uislamu:
“Yule asiyemkufurisha kafiri, basi ni kafiri.”
Ama kukufurisha pasina haki, hili ndio limekatazwa. Huyu ndiye Takfiyriy. Yule ambaye anawakufurisha watu bila ya haki.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%2027-3-1435.mp3
- Imechapishwa: 06/10/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)