Swali: Je, kuna tofauti kati ya wanachuoni kuhusu mwanamke kufunua uso wake au wote wamekubaliana juu ya Uharamu?

Jibu: Wamekubaliana kwamba, kukiwepo fitina kwa kuonesha uso wake, basi itakuwa ni wajibu kwake kuufunika. Na hakuna uaminifu wa fitina. Ni nani ambaye anajiaminisha juu ya fitina? Wamekubaliana kwamba, kukikhofiwa fitina ni wajibu kwake kufunika uso. Na khofu juu ya fitina ni yenye kuwepo daima na kila siku.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=136511
  • Imechapishwa: 28/01/2024